Dukuduku
🎙️ Voice notes. Anonymous ukitaka.

Una Dukuduku? 👀

Kuna kitu unataka kusema? Sema tu. 🎙️

Record voice yako na mwaga Dukuduku. Story, siri, swali, hot take... chochote kilicho kichwani. Anonymous ukitaka. Kuna mtu huku atakusikiliza.

Voice kwanza, text pia ipo · Web + Android · Bure

🙂Anonymous · Dar· 2m🔥 Trending

🎙️ Guys, hivi kurudiana na ex ni kujitakia matatizo? 😭

0:52
😂 412👀 96 89
🙂Anonymous · Nairobi· 14m

🎙️ Boss wangu amenipandishia mshahara leo. Finally 😭🔥

0:38
🎉 1.1K🔥 230 57
🙂Campus · Arusha· 31m🔥 Trending

🎙️ Guys listen, leo kwenye daladala nimekutana na...

1:12
😂 780😭 140 112
🙂Anonymous· 1h

🎙️ Sijawahi kumwambia mtu hii story...

1:47
👀 530❤️ 88 63
🎙️ Guys, hivi kurudiana na ex ni kujitakia matatizo? 😭🎙️ Boss wangu amenipandishia mshahara leo. Finally 😭🔥🎙️ Guys listen, leo kwenye daladala nimekutana na...Kuna mtu mwingine anafeel kama 2026 imeenda mbio sana?🎙️ Sijawahi kumwambia mtu hii story...🎙️ Hot take: chapati ya Nairobi > chapati ya Dar. Fight me 🔥🎙️ Nimefaulu interview!!! Sina mtu wa kumwambia so nawaambia nyie 🎉Late night thought: kwanini tunaogopa kusema 'nakupenda' kwanza? 🌙🎙️ Aisee hii story ya jana... ebu sikiliza🎙️ Guys, hivi kurudiana na ex ni kujitakia matatizo? 😭🎙️ Boss wangu amenipandishia mshahara leo. Finally 😭🔥🎙️ Guys listen, leo kwenye daladala nimekutana na...Kuna mtu mwingine anafeel kama 2026 imeenda mbio sana?🎙️ Sijawahi kumwambia mtu hii story...🎙️ Hot take: chapati ya Nairobi > chapati ya Dar. Fight me 🔥🎙️ Nimefaulu interview!!! Sina mtu wa kumwambia so nawaambia nyie 🎉Late night thought: kwanini tunaogopa kusema 'nakupenda' kwanza? 🌙🎙️ Aisee hii story ya jana... ebu sikiliza
🎙️ Voice kwanza

Huwezi ku-type yote hiyo? 😂 Sema tu.

Dukuduku ni ya sauti. Bonyeza mic, sema mpaka dakika mbili, kwa Kiswahili, English au mchanganyiko. Watu wanasikiliza direct kwenye feed, na wanakujibu kwa voice pia. Ukipenda kuandika, text ipo.

  • Bonyeza mic, sema, tuma. Hakuna kuandika.
  • Share kama video ya TikTok/Reels, na captions za ulichosema.
  • Au tuma link tu, watu wanasikiliza kwenye browser.
Recording0:42 / 2:00

"Aisee, leo kwenye daladala nimekutana na mtu ambaye..."

Post anonymous
🙂Anonymous · Nairobi· 3h
0:46

🎙️ "Aisee sijui nifanyeje, dem amenighost toka jana 😂"

😂 312😭 97👀 55

Anonymous · Dar

😂 Jana tu au hii tabia imeanza kitambo?

😂 84

Anonymous · Nairobi

0:34

🔥 41

Anonymous · Mwanza

0:21

💯 120

Reply kwa voice... 🎙️
💬 Conversations

Umesema. Wengine wana nini cha kusema?

  • Sikiliza.
  • React.
  • Jibu kwa voice.
  • Endeleza story.

Kila Dukuduku ni mwanzo wa conversation. Watu wanasikiliza, wanareact, wanajibu kwa voice (au text), na story inaendelea. Kupata watu unaoweza ku-relate nao ndio point.

🤫 Anonymous

Hutaki wajue ni wewe? No pressure.

Post anonymous. Sometimes unataka tu kusema bila watu kujua wewe ni nani. That's okay.

Ni switch moja unapotuma voice yako. Ukiiwasha, Dukuduku yako inaonekana kama "Anonymous". Ukiizima, inaonekana na jina lako. Wewe ndio unaamua, kila post.

New Dukuduku

1:47

🎙️ "Sijawahi kumwambia mtu hii story..."

Post anonymousItaonekana kama "Anonymous"
Preview: Anonymous · Dar · sasa hiviTuma
Spaces

Kila story ina watu wake.

Ingia kwenye space inayokufaa. Au zote. 👀

❤️ Mapenzi😂 Vichekesho🔥 Hot Takes🤫 Siri💰 Money🎓 Campus💼 Kazi🌙 Late Night🇹🇿 Bongo🇰🇪 Kenya
FAQ

Maswali yanayoulizwa sana

"Dukuduku" maana yake nini?+

Ile kitu imekaa kichwani na unataka kuisema. Story, siri, swali, frustration, good news. Hapa, ni jina la kila post pia: unatoa dukuduku lako.

Lazima niongee? Siwezi kuandika?+

Dukuduku ni ya voice kwanza. Feed ni voice notes, na replies nyingi ni voice. Text ipo ukiipenda, lakini sauti ndio moyo wa app.

Lazima niwe anonymous?+

Hapana. Unachagua. Post na jina lako, au anonymous. Kila Dukuduku, wewe ndio unaamua.

Watu wataona ni mimi?+

Ukipost anonymous, jina lako halionekani kwenye post. Inaonekana kama "Anonymous" tu.

Voice inafanyaje kazi?+

Bonyeza mic, sema (mpaka dakika mbili), tuma. Watu wanasikiliza kwenye feed. Unaweza pia kuishare kama video ya TikTok au Reels, na captions.

Kuna rules?+

Ndiyo, chache. Hakuna hate, hakuna kuumizana, hakuna kutaja watu kwa majina au number. Ukiona kitu kibaya, report ipo kwenye kila post.

Ni bure?+

Ndiyo. Kupost, kusikiliza, kureact, kushare. Bure.

Inapatikana wapi?+

Kwenye browser yoyote (app.dukuduku.co.tz) na Android. iOS inakuja.

Una Dukuduku? Mwaga tu.

Leo kuna nini? Bonyeza mic, sema. We listen, hatuhukumu.